Je, khofu inaingia ndani ya shirki?

Swali: Je, khofu inaingia ndani ya shirki?

Jibu: Ndio, ambaye anayaogopa masanamu na nyota. Hii ni shirki. Ama ikiwa anawaogopa wezi na hivyo akafunga mlango. Hakuna ubaya ufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 31
  • Imechapishwa: 09/06/2019