Je, inakubaliwa Hijjah ya mwenye deni?

Swali: Je, inakubaliwa hajj ya ambaye yuko na deni?

Jibu: Inakubaliwa – Allaah akitaka. Lakini mdaiwa akiwa na namna na si muweza basi atangulize kulipa deni. Vinginevyo hijja yake ni sahihi. Hata hivyo bora na salama zaidi aanze kulipa deni.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/29280/هل-يقبل-حج-من-عليه-دين
  • Imechapishwa: 18/05/2025