Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali swalah ya faradhi nyuma ya anayeswali swalah inayopendeza? Kwa mfano mtu ambaye anaswali ´Ishaa nyuma ya imamu anayeswali Tarawiyh?
Jibu: Hapana vibaya kuswali ´Ishaa nyuma ya ambaye anaswali Tarawiyh, hivo ndivo alivosema Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah). Ikiwa mswaliji ni msafiri na akaingia na imamu mwanzoni mwa swalah, basi atamaliza naye. Vinginevyo atakamilisha ile sehemu iliyobaki pale ambapo imamu atamaliza kuswali.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/443)
- Imechapishwa: 19/04/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya kuswali swalah ya faradhi nyuma ya anayeswali swalah inayopendeza? Kwa mfano mtu ambaye anaswali ´Ishaa nyuma ya imamu anayeswali Tarawiyh?
Jibu: Hapana vibaya kuswali ´Ishaa nyuma ya ambaye anaswali Tarawiyh, hivo ndivo alivosema Imaam Ahmad (Rahimahu Allaah). Ikiwa mswaliji ni msafiri na akaingia na imamu mwanzoni mwa swalah, basi atamaliza naye. Vinginevyo atakamilisha ile sehemu iliyobaki pale ambapo imamu atamaliza kuswali.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/443)
Imechapishwa: 19/04/2026
https://firqatunnajia.com/ishaa-nyuma-ya-imamu-anayeswali-tarawiyh/