Swali 234: Kukimu swalah kwenye kipaza sauti ndio bora au pasi na kipaza sauti?
Jibu: Kukimiwe kwenye kipaza sauti. Baadhi ya watu wanakuwa ni wenye kupumbaa na hivyo Iqaamah inakuwa yenye kuwazindua.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 92
- Imechapishwa: 10/08/2019
Swali 234: Kukimu swalah kwenye kipaza sauti ndio bora au pasi na kipaza sauti?
Jibu: Kukimiwe kwenye kipaza sauti. Baadhi ya watu wanakuwa ni wenye kupumbaa na hivyo Iqaamah inakuwa yenye kuwazindua.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 92
Imechapishwa: 10/08/2019
https://firqatunnajia.com/iqaamah-kwenye-spika/