Swali: Inajuzu kwa muislamu kumuoa dada yake wa kuchangia ziwa?
Jibu: Unyonyaji unaharamisha yale yanayoharamishwa na udugu. Ndugu yake wa kuchangia ziwa ni kama ndugu yake wa nasabu. Haijuzu kumuoa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
- Imechapishwa: 14/10/2018
Swali: Inajuzu kwa muislamu kumuoa dada yake wa kuchangia ziwa?
Jibu: Unyonyaji unaharamisha yale yanayoharamishwa na udugu. Ndugu yake wa kuchangia ziwa ni kama ndugu yake wa nasabu. Haijuzu kumuoa.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
Imechapishwa: 14/10/2018
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kwa-muislamu-kumuoa-dada-yake-wa-kuchangia-ziwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)