Swali: Inajuzu kuswali na suruwali?
Jibu: Inategemea na desturi za watu. Hatusemi kuwaambia wale wamezowea kuvaa suruwali wazivue na badala yake kuvaa kanzu kwa sababu ya swalah. Waswali na suruwali, lakini wahakikishe ni panaa. Zisiwe ni suruwali zenye kubana kiasi cha kwamba zinabainisha viungo vya maumbile yao.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
- Imechapishwa: 24/01/2017
Swali: Inajuzu kuswali na suruwali?
Jibu: Inategemea na desturi za watu. Hatusemi kuwaambia wale wamezowea kuvaa suruwali wazivue na badala yake kuvaa kanzu kwa sababu ya swalah. Waswali na suruwali, lakini wahakikishe ni panaa. Zisiwe ni suruwali zenye kubana kiasi cha kwamba zinabainisha viungo vya maumbile yao.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
Imechapishwa: 24/01/2017
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kuswali-na-suruwali/