Swali: Inajuzu kwa mtu kusema:
“Allaah ndiye mpenzi na khaliyl wangu?”
Jibu: Sijui chochote juu ya hilo. Sema Allaah ndiye Mola wangu na mimi ndiye mja wake.
Swali: Inajuzu kwa mtu kusema kwamba khaliyliy wake ni Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Ni sawa. Hakuna neno. Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) alisema:
“Khaliyl wangu aliniusia… “
Akimaanisha Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
- Imechapishwa: 11/11/2017
Swali: Inajuzu kwa mtu kusema:
“Allaah ndiye mpenzi na khaliyl wangu?”
Jibu: Sijui chochote juu ya hilo. Sema Allaah ndiye Mola wangu na mimi ndiye mja wake.
Swali: Inajuzu kwa mtu kusema kwamba khaliyliy wake ni Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?
Jibu: Ni sawa. Hakuna neno. Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) alisema:
“Khaliyl wangu aliniusia… “
Akimaanisha Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (74) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-25-01-1439H-01.mp3
Imechapishwa: 11/11/2017
https://firqatunnajia.com/inafaa-kusema-muhammad-ndiye-mpenzi-wangu/