Imamu Sunniy anatangulia mbele ya mtenda maasi na mzushi

Swali: Ikiwa ambaye amehifadhi zaidi miongoni mwa watu ni mwenye kunyoa ndevu au nguo yake inashuka chini ya vifundo vya miguu?

Jibu: Hili lina kizuizi. Ikiwa kuna kizuizi kinachozuia, [basi huzuiliwa]. Kinachokusudiwa ni kuwa ikiwa wamesalimika. Lakini ikiwa kuna kizuizi, kama vile kafiri, hawezi kuswalisha. Kwa hivyo mtu wa Sunnah, ambaye haitambuliwi hali yake na mtu kheri hutangulia mbele ya mtenda maasi na mzushi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25121/ما-حكم-امامة-الحليق-والمسبل-اذا-كان-احفظهم
  • Imechapishwa: 03/02/2025