Swali 271: Vipi iwapo imamu ataenda katika Rukuu´ na maamuma hajamaliza kusoma al-Faatihah?

Jibu: Arukuu hata kama hajamaliza; isipokuwa kama imebaki Aayah moja, basi aimalishe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 99
  • Imechapishwa: 17/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´