Swali: Imamu alienda kwenye Rukuu´ na mimi sijamaliza kusoma al-Faatihah. Je, niikamilishe au nami niende Rukuu´?
Jibu: Ikiwa umebakiza Aayah kama moja au kitu kidogo, imalize al-Faatihah. Ama ikiwa kisomo kitakuchelewesha kumfuata imamu, nenda katika Rukuu´ hata kama hujamaliza kusoma.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (22) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-26-3-1435.mp3
- Imechapishwa: 30/03/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket