Swali: Kuna Takbiyr ngapi katika swalah ya ´Iyd?
Jibu: Idadi ya Takbiyr katika swalah ya ´Iyd ni jambo lina tofauti. Wametofautiana kwalo wanachuoni wa kale na wa sasa. Katika Rak´ah ya kwanza mwenye kutoa Takbiyr saba na kwenye Rak´ah ya pili baada ya kusimama akatoa Takbiyr tano ni vizuri. Ni vizuri pia akifanya kinyume na hivo kwa sababu imethibiti kutoka kwa Salaf.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/238)
- Imechapishwa: 14/06/2018
Swali: Kuna Takbiyr ngapi katika swalah ya ´Iyd?
Jibu: Idadi ya Takbiyr katika swalah ya ´Iyd ni jambo lina tofauti. Wametofautiana kwalo wanachuoni wa kale na wa sasa. Katika Rak´ah ya kwanza mwenye kutoa Takbiyr saba na kwenye Rak´ah ya pili baada ya kusimama akatoa Takbiyr tano ni vizuri. Ni vizuri pia akifanya kinyume na hivo kwa sababu imethibiti kutoka kwa Salaf.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawa (16/238)
Imechapishwa: 14/06/2018
https://firqatunnajia.com/ibn-uthaymiyn-idadi-ya-takbiyr-za-iyd/