Swali: Kuna mtu amenipa TV na ameniwekea uzito nimuuzie na iko kwangu hivi sasa na sijui nifanye kitu gani – je, niiuze na endapo nitafanya hivo nitakuwa mwenye kupata dhambi? Je, thamani yake ni haramu?
Jibu: Namzungumzisha muuliza ifuatavyo: akiuza hichi alichopewa kumuuliza mtu ambaye atakitumia kwa njia inayoruhusiwa, kwa mfano akawauzia wale wanaotazama filamu zinazowanufaisha watu haina neno. Anapata dhambi ikiwa atawauzia watu wasiokuwa wasomi. Kwa kuwa watu wengi wanazitumia hizi TV kwa mambo ya haramu. Ni jambo lisilokuwa na shaka ya kwamba kinachoangaliwa kwenye TV kuna kinachoruhusiwa, kuna kinachonufaisha na kuna kilicho cha haramu na madhara. Watu wengi hawatofautishi kati ya hayo mawili.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (02)
- Imechapishwa: 01/05/2020
Swali: Kuna mtu amenipa TV na ameniwekea uzito nimuuzie na iko kwangu hivi sasa na sijui nifanye kitu gani – je, niiuze na endapo nitafanya hivo nitakuwa mwenye kupata dhambi? Je, thamani yake ni haramu?
Jibu: Namzungumzisha muuliza ifuatavyo: akiuza hichi alichopewa kumuuliza mtu ambaye atakitumia kwa njia inayoruhusiwa, kwa mfano akawauzia wale wanaotazama filamu zinazowanufaisha watu haina neno. Anapata dhambi ikiwa atawauzia watu wasiokuwa wasomi. Kwa kuwa watu wengi wanazitumia hizi TV kwa mambo ya haramu. Ni jambo lisilokuwa na shaka ya kwamba kinachoangaliwa kwenye TV kuna kinachoruhusiwa, kuna kinachonufaisha na kuna kilicho cha haramu na madhara. Watu wengi hawatofautishi kati ya hayo mawili.
Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Liqaa’ ash-Shahriy (02)
Imechapishwa: 01/05/2020
https://firqatunnajia.com/ibn-uthaymiyn-anayestahiki-na-asiyestahiki-kuuziwa-tv-%e2%80%82%e2%80%82/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)