Ibn Baaz Twawaaf wakati wa Khutbah

428 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu Twawaaf wakati wa Khutbah?

Jibu: Bora zaidi ni kutofanya hivo, kwa sababu kuna uwezekano wa kuiahirisha, si kama swalah ya mamkuzi ya msikiti.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 140
  • Imechapishwa: 28/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´