Swali: Je, kuna Hadiyth ambayo imethibiti kuwa inapendekeza kufunga baadhi ya siku za Rajab au makatazo ya kufunga ndani yake?

Jibu: Hapana. Rajab ilikuwa inatukuzwa sana zama za kabla ya Uislamu. Hata hivyo hapana vibaya akifunga swawm ya yale masiku tatu.

Swali: Kwa ajili ya kutendea kazi zile Hadiyth zilizoenea?

Jibu: Ndio. Sijui chochote chochote sahihi kilichotaja ubora wa kufanya ´ibaadah ndani yake zaidi ya:

”… miaka sabini.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 129
  • Imechapishwa: 02/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´