Swali: Baadhi ya watu wanapohudhuria makaburini wanawakumbusha wahudhuriaji?
Jibu: Hapana vibaya. Ukumbusho hauna neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwanasihi watu walipokuwa makaburini wakisubiri kuzikwe. Akawanasihi kwa Hadiyth iliopokelewa na al-Bukhaariy na Muslim kupitia kwa al-Baraa´ bin ´Aazib na kwenye Sunan. Aliwanasihi walipokuwa wameketi wakisubiri.
Swali: Ukumbusho makaburi ni Sunnah au inapendeza tu?
Jibu: Inapendeza kutokana na kitendo chake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24585/هل-يستحب-تذكير-الحاضرين-في-المقبرة
- Imechapishwa: 07/11/2024
Swali: Baadhi ya watu wanapohudhuria makaburini wanawakumbusha wahudhuriaji?
Jibu: Hapana vibaya. Ukumbusho hauna neno. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwanasihi watu walipokuwa makaburini wakisubiri kuzikwe. Akawanasihi kwa Hadiyth iliopokelewa na al-Bukhaariy na Muslim kupitia kwa al-Baraa´ bin ´Aazib na kwenye Sunan. Aliwanasihi walipokuwa wameketi wakisubiri.
Swali: Ukumbusho makaburi ni Sunnah au inapendeza tu?
Jibu: Inapendeza kutokana na kitendo chake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24585/هل-يستحب-تذكير-الحاضرين-في-المقبرة
Imechapishwa: 07/11/2024
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-ukumbusho-makaburini/