Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuwepo juu kwa Allaah?
Jibu: Hukumu yake ni ukafiri na upotevu. Wenye kufanya hivi ni Mushabbihah, Mu´tazilah na watu mfano wao. Mwenye kupinga kuwepo juu kwa Allaah ni mpotevu na kafiri.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
- Imechapishwa: 09/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket