Swali: Vipi kwa yule ambaye anaposalimiwa husema:
أهلًا ومرحبًا
“Habari na karibu.”?
Jibu: Ni kwenda kinyume na Sunnah. Ni lazima aseme kama alivobainisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
وعليك السلام ورحمة الله
“Nawe amani na rehema za Allaah ziwe juu yako.”
Lakini ni vizuri akizidisha baada yake, kama ambavo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya kwa Umm Haaniy´.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24238/ما-حكم-رد-السلام-بقول-اهلا-ومرحبا
- Imechapishwa: 20/09/2024
Swali: Vipi kwa yule ambaye anaposalimiwa husema:
أهلًا ومرحبًا
“Habari na karibu.”?
Jibu: Ni kwenda kinyume na Sunnah. Ni lazima aseme kama alivobainisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
وعليك السلام ورحمة الله
“Nawe amani na rehema za Allaah ziwe juu yako.”
Lakini ni vizuri akizidisha baada yake, kama ambavo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifanya kwa Umm Haaniy´.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24238/ما-حكم-رد-السلام-بقول-اهلا-ومرحبا
Imechapishwa: 20/09/2024
https://firqatunnajia.com/huu-sio-uitikiaji-wa-salamu/