Hukumu ya kuswali na mbele kuna mwanamke mwenye hedhi

Swali: Mtu akiswali na mbele yake kuna mwanamke aliyelala aliye na hedhi – je, swalah yake ni sahihi?

Jibu: Ndio, swalah yake ni sahihi akiwa mwanamke huyo yuko mbali naye.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 13/04/2019