Swali: Je, mtu ajifunze kupitia kanda za kielimu ambayo imefafanuliwa na wanachuoni katika miji ambayo hakuna wanachuoni kama fafanuzi zako na fafanuzi za Shaykh Ibn ´Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)?
Jibu: Haifai kwa mtu kujifunza kupitia kaseti na vitabu. Lakini anachoweza mtu kufanya ni kufaidika kwavyo. Ama kujifunza kupitia mambo haya hapana. Lakini kule kusikiliza na kufaidika kwavyo ni sawa. Huku kunaitwa kufaidika na sio kusoma. Kusoma kunakuwa kwa kupitia kwa wanachuoni.
- Muhusika: Imaam Swalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=uGzmaelIayM
- Imechapishwa: 14/11/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket