Swali: Je, hodhi ni kabla au baada ya kuingia Pepo?h
Jibu: Hodhi ni kabla ya Pepo. Ni kwenye kisimamo siku ya Qiyaamah. Kwa ajili hiyo wako makafiri wataokuja wazuiwe mbali nayo. Ingelikuwa ni ndani ya Pepo isingeliendewa isipokuwa tu na waumini. Hapa ni katika kisimamo siku ya Qiyaamah na kwenye na kwenye vibuga kabla ya wakazi wa Peponi kuingia Peponi na wakazi wa Motoni kuingia Motoni.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24386/هل-الحوض-قبل-الجنة-او-بعد-دخولها
- Imechapishwa: 04/10/2024
Swali: Je, hodhi ni kabla au baada ya kuingia Pepo?h
Jibu: Hodhi ni kabla ya Pepo. Ni kwenye kisimamo siku ya Qiyaamah. Kwa ajili hiyo wako makafiri wataokuja wazuiwe mbali nayo. Ingelikuwa ni ndani ya Pepo isingeliendewa isipokuwa tu na waumini. Hapa ni katika kisimamo siku ya Qiyaamah na kwenye na kwenye vibuga kabla ya wakazi wa Peponi kuingia Peponi na wakazi wa Motoni kuingia Motoni.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24386/هل-الحوض-قبل-الجنة-او-بعد-دخولها
Imechapishwa: 04/10/2024
https://firqatunnajia.com/hodhi-ni-kabla-au-baada-ya-kuingia-peponi/