Swali: Leo haijuzu kuanza kuwatolea salamu makafiri kwa sababu wanasema kifo (السام)?

Jibu: Hapana, sio kwa sababu hiyo. Hawaanzi kutolewa salamu kwa sababu ya ukafiri na kuwadhalilisha. Hata hivyo wao wakianza kutoa salamu waitikiwe kwa kuambiwa:

وعليكم

“Nanyi pia.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24249/الحكمة-من-عدم-ابتداء-الكفار-بالسلام
  • Imechapishwa: 20/09/2024