Swali: Kuna mtu ameandika makala ambapo akasema:
”Wanachuoni wamekubaliana juu ya kuheshimu maoni ya mwengine.”
Je, maneno haya ni sahihii? Je, haya ni maafikiano yenye kuzingatiwa?
Jibu: Haya ni maafikiano yake yeye. Ama kuhusu wanachuoni hawajaafikiana. Huku ni kuwasemea wanachuoni uongo. Wanakubaliana juu ya kuiheshimu haki. Wanachuoni wamekubaliana juu ya kuiheshimu haki na yaliyosimama juu ya dalili. Ama yenye kwenda kinyume na dalili ni yenye kukataliwa hata kama kutakuwa maoni mengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/2377
- Imechapishwa: 17/01/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)