Swali: Siku miongoni mwa siku nilimtamkia mke wangu talaka na Allaah anajua kuwa siku hiyo nilikuwa na ghadhabu. Kulitokea mgogoro kati yetu na ndio nikaitamka na sikuwa ni mwenye kuyazingatia maneno isipokuwa baada ya kumtamkia nayo. Nia na makusudio yangu haikuwa kumtamkia kabisa. Naomba tafadhali sana unijibu.
Jibu: Ndugu! Hatutoi fatwa za talaka katika barnamiji hii. Nenda Daar-ul-Iftaa´ Riyaadh au wende kwa Qaadhiy mahakamani ambaye anaishi karibu na wewe. Muulize yeye kuhusu talaka.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bh2DpsHpwcU
- Imechapishwa: 08/05/2020
Swali: Siku miongoni mwa siku nilimtamkia mke wangu talaka na Allaah anajua kuwa siku hiyo nilikuwa na ghadhabu. Kulitokea mgogoro kati yetu na ndio nikaitamka na sikuwa ni mwenye kuyazingatia maneno isipokuwa baada ya kumtamkia nayo. Nia na makusudio yangu haikuwa kumtamkia kabisa. Naomba tafadhali sana unijibu.
Jibu: Ndugu! Hatutoi fatwa za talaka katika barnamiji hii. Nenda Daar-ul-Iftaa´ Riyaadh au wende kwa Qaadhiy mahakamani ambaye anaishi karibu na wewe. Muulize yeye kuhusu talaka.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=bh2DpsHpwcU
Imechapishwa: 08/05/2020
https://firqatunnajia.com/hatutoi-fatwa-za-talaka-nenda-kwa-idara-maalum/