Swali: Tunataraji urekodi kanda nzima dhidi ya al-Haddaad kwa sababu ana uchangamfu Hadhwramawt.

Jibu: Nimeamua kufanya jambo hilo. Nawaomba ndugu watupe taarifa zake kutoka katika vitabu au maneno yake ili nizikusanye katika kanda “Haatwib-ul-Layl”. Kadhalika baadhi ya ndugu zake huko Yaafiy´ ambao tutawaunganisha na ndugu yao mpotevu. Hata kama tutabaki peke yetu ni lazima kwetu kutahadharisha kutokana na batili na watu wa batili.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 359
  • Imechapishwa: 06/05/2025