Hapana vibaya kukubaliana kufunga baadhi ya nyakati

30 – Nilimuuliza Shaykh wetu kwamba baadhi ya watu wanaafikiana kufunga siku ya jumatatu na alkhamisi.

Jibu: Hapana vibaya ikiwa ni jambo lililozuka ghafla.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 36
  • Imechapishwa: 26/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´