Swali: Sisi tuko na jumuiya ya wanawake. Je, inafaa kwetu kumleta mwalimu mwanamme ili awafunze Tajwiyd waalimu wanawake?
Jibu: Ikiwa wanajisitiri kutokana naye, haina neno. Lakini ikiwa wanazifunua nyuso zao, haijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 10/06/2023