Swali: Je, ni katika Sunnah kuacha kunyoa kichwa chote?

Jibu: Inaruhusiwa. Kama mtu atafuga kwa ajili ya kumuigiliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni sawa. Asikusudie kitu kingine kama kujifananisha na wanawake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21510/هل-ترك-حلق-الراس-من-السنة
  • Imechapishwa: 18/09/2024