Swali: Je, inajuzu kwa mlinganizi Salafiy kutembelea misikiti ya Ahl-ul-Ahwaa´ na Ahl-ul-Bid´ah, akashirikiana nao katika nad-wah zao na dawrah zao? Je, mambo haya yanaingia katika kushirikiana nao na kuwapenda?

Jibu: Ndio, kunaingia katika kuwapenda. Asihudhurie sherehe na na-dwah zao. Ataathirika na Bid´ah zao zikampata.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 29/10/2020