Swali: Ni upi wakati wa swalah ya kushukuru na namna yake?
Jibu: Kushukuru hakuna swalah. Kilichothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kwamba anapofikiwa na kitu cha kumfurahisha basi anaporomoka kumsujudia Allaah.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/صلاة-الشكر
- Imechapishwa: 10/06/2022
Swali: Ni upi wakati wa swalah ya kushukuru na namna yake?
Jibu: Kushukuru hakuna swalah. Kilichothibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kwamba anapofikiwa na kitu cha kumfurahisha basi anaporomoka kumsujudia Allaah.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/صلاة-الشكر
Imechapishwa: 10/06/2022
https://firqatunnajia.com/hakuna-swalah-ya-kushukuru/