Swali: Kuna wengi wanaouliza kuhusu Hafswah na Jundub (Radhiya Allaahu ´anhumaa) walivyowaua wachawi. Je, hapa kuna dalili ya kwamba inafaa kwa kila mmoja kumuua mchawi pasi na idhini ya mtawala au ni ijtihadi waliofikia?
Jibu: Baada ya hakimu kuhukumu huyu mstahiki wa kuuawa, ni lazima jambo lipelekwe kwa mtawala. Lakini hawa ni Maswahabah ambao walikuwa na nafasi yao, elimu na fadhila zao. Wao si kama sisi na wengine. Maswahabah wanatofautiana na wengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
- Imechapishwa: 06/08/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket