Swali: Kipi ni bora; kufanya Hajj ya kujitolea au kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili Mujaahiduun?
Jibu: Mtu anatakiwa kulitazama jambo hili na kutafakari ni kipi chenye manufaa zaidi. Ikiwa Mujaahiduun wanahitaji sana msaada wa kifedha, basi kutoa msaada ni bora. Ama ikiwa hawauhitaji na wamepata kinachowatosheleza, basi Hajj ya kujitolea ni bora. Ikiwa kuna mafukara wenye haja, basi kutumia fedha kuwasaidia ni bora. Lakini ikiwa hakuna mafukara au mahitaji yao yameshatoshelezwa, basi Hajj ndiyo bora. Kwa hiyo hukumu ya ubora inatofautiana kulingana na hali.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
- Imechapishwa: 30/09/2026
Swali: Kipi ni bora; kufanya Hajj ya kujitolea au kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili Mujaahiduun?
Jibu: Mtu anatakiwa kulitazama jambo hili na kutafakari ni kipi chenye manufaa zaidi. Ikiwa Mujaahiduun wanahitaji sana msaada wa kifedha, basi kutoa msaada ni bora. Ama ikiwa hawauhitaji na wamepata kinachowatosheleza, basi Hajj ya kujitolea ni bora. Ikiwa kuna mafukara wenye haja, basi kutumia fedha kuwasaidia ni bora. Lakini ikiwa hakuna mafukara au mahitaji yao yameshatoshelezwa, basi Hajj ndiyo bora. Kwa hiyo hukumu ya ubora inatofautiana kulingana na hali.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (25)
Imechapishwa: 30/09/2026
https://firqatunnajia.com/hajj-ya-kujitolea-au-pesa-hiyo-awape-mujaahiduun/