Swali: Je, du´aa ya kusema:
أمد الله عمرك
“Allaah aurefushe umri wako.”
au:
أطال الله عمرك
“Allaah akuze maisha yako.”
haifai kuombwa?
Jibu: Hapana, ikiwa ataongeza:
على خير
“… katika kheri.”
kama ilivyokuja katika Hadiyth ya kwanza, isipokuwa aweke sharti. Aseme:
“Allaah akurefushe umri katika kheri, katika uongofu, katika kutengemaa, katika Uislamu au maneno yanayofanana na hayo. Kwa sababu huenda Allaah akamrefushia umri katika shari.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31649/ما-حكم-قول-اطال-الله-عمرك
- Imechapishwa: 12/11/2025
Swali: Je, du´aa ya kusema:
أمد الله عمرك
“Allaah aurefushe umri wako.”
au:
أطال الله عمرك
“Allaah akuze maisha yako.”
haifai kuombwa?
Jibu: Hapana, ikiwa ataongeza:
على خير
“… katika kheri.”
kama ilivyokuja katika Hadiyth ya kwanza, isipokuwa aweke sharti. Aseme:
“Allaah akurefushe umri katika kheri, katika uongofu, katika kutengemaa, katika Uislamu au maneno yanayofanana na hayo. Kwa sababu huenda Allaah akamrefushia umri katika shari.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31649/ما-حكم-قول-اطال-الله-عمرك
Imechapishwa: 12/11/2025
https://firqatunnajia.com/haitoshi-kumuombea-mtu-maisha-marefu-tu/