Swali: Nilikuwa nimesafiri nje ya nchi yetu kisha nikarudi baada ya siku chache. Nilipoingia katika nchi yangu ulikuwa umeingia wakati wa ´Ishaa. Baadhi ya ndugu wakanifutu kwamba niswali kwa kufupisha. Je, ni wajibu kwangu kuirudi swalah hii ilihali kumeshapita miaka miwili?
Jibu: Ndio, swalah yako ni batili. Ukifika katika nchi yako huruhusiwi kufupisha. Hukumu za safari zimekwisha na unatakiwa kuswali Rak´ah nne. Haijalishi kitu hata kama kumekwishapita miaka mia moja hivi sasa unatakiwa kulipa Rak´ah nne.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
- Imechapishwa: 05/10/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket