Swali: Inajuzu kuita nchi ya kikafiri “nchi rafiki” au kumwita kafiri kuwa ni rafiki yangu?
Jibu: Hili halijuzu. Urafiki maana yake ni mapenzi. Hawi rafiki isipokuwa yule unayempenda. Hata hivyo ni sawa kusema nchi ya kiongozi au nchi ya mkataba. Ama kusema nchi rafiki haifai.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2106
- Imechapishwa: 01/07/2020
Swali: Inajuzu kuita nchi ya kikafiri “nchi rafiki” au kumwita kafiri kuwa ni rafiki yangu?
Jibu: Hili halijuzu. Urafiki maana yake ni mapenzi. Hawi rafiki isipokuwa yule unayempenda. Hata hivyo ni sawa kusema nchi ya kiongozi au nchi ya mkataba. Ama kusema nchi rafiki haifai.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2106
Imechapishwa: 01/07/2020
https://firqatunnajia.com/haijuzu-kupenda-nchi-ya-kikafiri/