Swali: Je, inajuzu kupeleka chakula misikitini wafuturu waliofunga?
Jibu: Hakuna ubaya na Allaah awajaze kheri. Hii ni ´amali nzuri na njema kufuturisha waliofunga baada ya kuzama kwa jua katika misikiti. Lakini jiepusheni na kuleta vitungu saumu na mfano wake msileta wakati wa futari. Kwa kuwa Mtume (´alayhis-Salaam) kaamrisha aliekula vitu hivi ajitenge na Misikiti yetu. Futari isiwe na vitu hivi.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Swali: Je, inajuzu kupeleka chakula misikitini wafuturu waliofunga?
Jibu: Hakuna ubaya na Allaah awajaze kheri. Hii ni ´amali nzuri na njema kufuturisha waliofunga baada ya kuzama kwa jua katika misikiti. Lakini jiepusheni na kuleta vitungu saumu na mfano wake msileta wakati wa futari. Kwa kuwa Mtume (´alayhis-Salaam) kaamrisha aliekula vitu hivi ajitenge na Misikiti yetu. Futari isiwe na vitu hivi.
Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
Imechapishwa: 10/05/2020
https://firqatunnajia.com/futari-msikitini-wafungaji-wale/