195 – Abu Daawuud ametukhabarisha: ´Affaan ametukhabarisha: Hammaad bin Salamah ametukhabarisha, kutoka kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Wana wawili wa al-´Aasw ni waumini; Hishaam na ´Amr.”[1]
[1] Ahmad (2/304, 327, 353 na 354). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (45).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 127
- Imechapishwa: 29/09/2026
195 – Abu Daawuud ametukhabarisha: ´Affaan ametukhabarisha: Hammaad bin Salamah ametukhabarisha, kutoka kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Wana wawili wa al-´Aasw ni waumini; Hishaam na ´Amr.”[1]
[1] Ahmad (2/304, 327, 353 na 354). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (45).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 127
Imechapishwa: 29/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-hishaam-bin-al-aasw/