200 – ´Amr bin ´Aliy ametukhabarisha: Yahyaa ametukhabarisha, kutoka kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa ´Atwaa’, kutoka kwa Jaabir, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Amekufa mtu mwema – Aswhamah. Hivyo basi, simameni na mumswalie.” Tukasimama na kumswalia.”[1]

[1] al-Bukhaariy (1320) na Muslim (952).

  • Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 129
  • Imechapishwa: 29/09/2026