176 – Muhammad bin ´Uthmaan ametukhabarisha: Ibraahiym bin Habiyb bin ash-Shahiyd ametukhabarisha: Baba yangu ametukhabarisha, kutoka kwa ´Amr bin Diynaar, kutoka kwa Jaabir bin ´Abdillaah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swaalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Allaah akujazeni kheri, enyi Answaar! Khaswa familia ya ´Amr bin Haraam na Sa´d bin ´Ubaadah.”[1]
[1] al-Haakim (4/111-112), ambaye amesema cheni ya wapokezi ni Swahiyh. Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (3091).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 117
- Imechapishwa: 21/09/2026
176 – Muhammad bin ´Uthmaan ametukhabarisha: Ibraahiym bin Habiyb bin ash-Shahiyd ametukhabarisha: Baba yangu ametukhabarisha, kutoka kwa ´Amr bin Diynaar, kutoka kwa Jaabir bin ´Abdillaah, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swaalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Allaah akujazeni kheri, enyi Answaar! Khaswa familia ya ´Amr bin Haraam na Sa´d bin ´Ubaadah.”[1]
[1] al-Haakim (4/111-112), ambaye amesema cheni ya wapokezi ni Swahiyh. Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh-ul-Jaamiy´” (3091).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 117
Imechapishwa: 21/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-amr-bin-haraam/