Swali: Ni ipi hukumu ya du´aa ya kukhitimisha Qur-aan? Je, ni wajibu endapo itaachwa?
Jibu: Ni yenye kupendeza kwa mtazamo wa wanazuoni na si wajibu. Imefanywa na baadhi ya Maswahabah na ikafanywa na wanazuoni.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1092/ما-حكم-دعاء-ختم-القران
- Imechapishwa: 23/01/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya du´aa ya kukhitimisha Qur-aan? Je, ni wajibu endapo itaachwa?
Jibu: Ni yenye kupendeza kwa mtazamo wa wanazuoni na si wajibu. Imefanywa na baadhi ya Maswahabah na ikafanywa na wanazuoni.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1092/ما-حكم-دعاء-ختم-القران
Imechapishwa: 23/01/2026
https://firqatunnajia.com/duaa-ya-kukhitimisha-qur-aan/