Swali: Tunasikia maneno yanayotamkwa na baadhi ya viongozi wakisema: “Kazi ni kazi, dini haina uhusiano wowote na kazi”?
Jibu: Haya ni maneno batili. Vipi dini haina uhusiano na kazi? Dini ndiyo kila kitu, ina uhusiano katika kila jambo: katika kazi za watu, katika nyumba zao, katika uongozi wao, katika utawala wao na katika kila kitu. Dini ndiyo msingi wa kila jambo. Ni lazima kazi zote ziwe kwa mujibu wa dini. Ni wajibu kwa mja ajisalimishe kwa Allaah katika mambo yote:
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً
“Enyi mlioamini! Jisalimisheni kikamilifu.”[1]
Kwa maana ya kwamba muingie katika Uislamu wote bila kuacha chochote. Ni lazima mtu ajifunge na Uislamu katika kila jambo. Haijuzu kupuuza katika kazi yoyote au katika kauli yoyote. Ni lazima maneno na matendo ya viongozi na walio chini yao, wanaume na wanawake, majini na wanadamu, yapimwe kwa mizani ya Shari´ah. Yatakayokubaliana nayo yatakubaliwa, na yatakayopingana nayo yarudishwe kwa msemaji. Ambaye anasema kuwa dini haina uhusiano na kazi, ataambiwa atubie. Akitubia ni sawa, vinginevyo atauliwa hali ya kuwa kafiri.
[1] 02:208
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30113/ما-حكم-قول-لا-دخل-للدين-في-العمل
- Imechapishwa: 11/09/2025
Swali: Tunasikia maneno yanayotamkwa na baadhi ya viongozi wakisema: “Kazi ni kazi, dini haina uhusiano wowote na kazi”?
Jibu: Haya ni maneno batili. Vipi dini haina uhusiano na kazi? Dini ndiyo kila kitu, ina uhusiano katika kila jambo: katika kazi za watu, katika nyumba zao, katika uongozi wao, katika utawala wao na katika kila kitu. Dini ndiyo msingi wa kila jambo. Ni lazima kazi zote ziwe kwa mujibu wa dini. Ni wajibu kwa mja ajisalimishe kwa Allaah katika mambo yote:
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً
“Enyi mlioamini! Jisalimisheni kikamilifu.”[1]
Kwa maana ya kwamba muingie katika Uislamu wote bila kuacha chochote. Ni lazima mtu ajifunge na Uislamu katika kila jambo. Haijuzu kupuuza katika kazi yoyote au katika kauli yoyote. Ni lazima maneno na matendo ya viongozi na walio chini yao, wanaume na wanawake, majini na wanadamu, yapimwe kwa mizani ya Shari´ah. Yatakayokubaliana nayo yatakubaliwa, na yatakayopingana nayo yarudishwe kwa msemaji. Ambaye anasema kuwa dini haina uhusiano na kazi, ataambiwa atubie. Akitubia ni sawa, vinginevyo atauliwa hali ya kuwa kafiri.
[1] 02:208
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/30113/ما-حكم-قول-لا-دخل-للدين-في-العمل
Imechapishwa: 11/09/2025
https://firqatunnajia.com/dini-haina-uhusiano-wowote-na-kazi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket