Swali 110: Vipi kuhusu damu baada ya kusafika?

Jibu: Ni hedhi isipokuwa ikiwa itaendelea kwa muda mrefu, basi inakuwa damu ya ugonjwa. Damu inarejeshwa kwenye asili yake, ambayo ni hedhi, isipokuwa ikizidi siku kumi na tano, atarejea katika kawaida yake na damu inayobaki itazingatiwa kuwa ni damu ya ugonjwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 61
  • Imechapishwa: 17/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´