Swali: Je, kutia chanjo [tattoo] inaweza kuwa tiba?
Jibu: Huenda ikawa kwa ajili ya kutoa damu fulani, lakini si chanjo ya mapambo. Hata hivyo huenda ikabaki alama kwenye mwili wa mtu kwa sababu ya matibabu.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31636/ما-حكم-الوشم-للعلاج
- Imechapishwa: 12/11/2025
Swali: Je, kutia chanjo [tattoo] inaweza kuwa tiba?
Jibu: Huenda ikawa kwa ajili ya kutoa damu fulani, lakini si chanjo ya mapambo. Hata hivyo huenda ikabaki alama kwenye mwili wa mtu kwa sababu ya matibabu.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31636/ما-حكم-الوشم-للعلاج
Imechapishwa: 12/11/2025
https://firqatunnajia.com/chanjo-kwa-ajili-ya-matibabu/