Swali: Maneno yake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Chakula kiovu kabisa ni chakula cha walima… “?

Jibu: Kwa sura hii: wanaalikwa masikini na wanazuiwa mafukara. Ikiwa ni wa sifa hii: wanaalikwa masikini na wanazuiwa mafukara.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23862/معنى-شر-الطعام-طعام-الوليمة-في-الحديث
  • Imechapishwa: 20/05/2024