Swali: Kuhajiri ndio bora au kupambana vita katika nchi inayodai Uislamu huku inaupiga vita?
Jibu: Hili hutofautiana. Ikiwa katika nchi hiyo wapo wanaoweza kupambana vita, wakaipiga vita batili, wakasimamisha haki na ulinganizi, basi hili lina hali yake. Kubaki kwake katika nchi yake yenye shari, kupambana humo, kulingania kwa Allaah, kuwafundisha watu kheri na anaweza kudhihirisha dini yake, hili ni bora kuliko kuhajiri ikiwa anaweza kufanya hivyo. Lakini ikiwa hawezi, bali anakandamizwa na anaogopa juu ya nafsi yake, basi kuhajiri kwake ni bora kuliko kukaa kati ya watu wanaomlazimisha juu ya batili, wakimzuia na haki na anaogopa kuharibika na kupotoka moyo kutoka kwenye uwongofu na kutamani starehe, utulivu na pumziko mpaka ajiwekee mazoea ya shirki na ufisadi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1233/بيان-الافضلية-بين-الهجرة-او-البقاء-لمواجهة-المنكر
- Imechapishwa: 08/02/2026
Swali: Kuhajiri ndio bora au kupambana vita katika nchi inayodai Uislamu huku inaupiga vita?
Jibu: Hili hutofautiana. Ikiwa katika nchi hiyo wapo wanaoweza kupambana vita, wakaipiga vita batili, wakasimamisha haki na ulinganizi, basi hili lina hali yake. Kubaki kwake katika nchi yake yenye shari, kupambana humo, kulingania kwa Allaah, kuwafundisha watu kheri na anaweza kudhihirisha dini yake, hili ni bora kuliko kuhajiri ikiwa anaweza kufanya hivyo. Lakini ikiwa hawezi, bali anakandamizwa na anaogopa juu ya nafsi yake, basi kuhajiri kwake ni bora kuliko kukaa kati ya watu wanaomlazimisha juu ya batili, wakimzuia na haki na anaogopa kuharibika na kupotoka moyo kutoka kwenye uwongofu na kutamani starehe, utulivu na pumziko mpaka ajiwekee mazoea ya shirki na ufisadi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1233/بيان-الافضلية-بين-الهجرة-او-البقاء-لمواجهة-المنكر
Imechapishwa: 08/02/2026
https://firqatunnajia.com/bora-kuhama-katika-nchi-hii-au-abaki-akipambana/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket