Swali: Baada ya imamu kumaliza swalah anasoma Adhkaar kwa sauti ya juu kama anavosoma Qur-aan. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Hii ni Bid´ah. Namna ni Bid´ah. Kuhusu Adhkaar yenyewe imewekwa katika Shari´ah, lakini si kwa namna hii. Haijuzu kufanya hivi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-01-07-1439.lite__0.mp3
- Imechapishwa: 08/10/2018
Swali: Baada ya imamu kumaliza swalah anasoma Adhkaar kwa sauti ya juu kama anavosoma Qur-aan. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Hii ni Bid´ah. Namna ni Bid´ah. Kuhusu Adhkaar yenyewe imewekwa katika Shari´ah, lakini si kwa namna hii. Haijuzu kufanya hivi.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D9%8A%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-01-07-1439.lite__0.mp3
Imechapishwa: 08/10/2018
https://firqatunnajia.com/bidah-ya-imamu-ya-adhkaar-baada-ya-swalah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)