Kisha akasema (´alayhis-Salaam):

“Hakika ya kila Bid´ah ni upotevu.”

Kila Bid´ah katika dini ya Allaah ni upotevu. Hata kama mwenye nayo atafikiria kuwa ni kheri na uongofu, ni upotevu. Haimzidishii mtu kwa Mola Wake isipokuwa kumuweka mbali zaidi.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/285)
  • Imechapishwa: 27/09/2024