Biashara ya nguo za misalaba


Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya bishara ya mavazi yenye nembo ya msalaba?

Jibu: Haijuzu kubeba wala kuvaa nguo ya msalaba wala kubakiza misabala majumbani. Ni lazima kuiharibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 13/01/2021