Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza kaseti na vitabu ambapo ndani yake kuna kuwatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) au kuzigawanya kwa watu ili waweze kusikiliza? Unamnasihi nini kwa anayefanya hivo?
Jibu: Kuuza kaseti hizi au vitabu ambavyo vina kuwatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) au baadhi yao, ni uuzaji wa batili. Hii ni bidhaa ya haramu. Ni wajibu kuivunja na kuichana. Thamani yake ni haramu. Kuieneza ni haramu. Lililo la wajibu ni kuivunja na kuichana.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
- Imechapishwa: 19/06/2018
Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza kaseti na vitabu ambapo ndani yake kuna kuwatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) au kuzigawanya kwa watu ili waweze kusikiliza? Unamnasihi nini kwa anayefanya hivo?
Jibu: Kuuza kaseti hizi au vitabu ambavyo vina kuwatukana Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) au baadhi yao, ni uuzaji wa batili. Hii ni bidhaa ya haramu. Ni wajibu kuivunja na kuichana. Thamani yake ni haramu. Kuieneza ni haramu. Lililo la wajibu ni kuivunja na kuichana.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
Imechapishwa: 19/06/2018
https://firqatunnajia.com/biashara-batili/