Swali: Je, inafaa kufungua benki za mbegu za kiume?

Jibu: Haijuzu. Jambo hilo lina uharibifu mkubwa. Hili linapelekea kujinasibisha na nasaha baada ya kufa kwa mtu. Haijuzu. Ni lazima kuzifunga.

Swali: Kuna uwezekano manii haya yakahifadhiwa kwenye mirija ya majaribio yenye lebo kwa kila mwanamke.

Jibu: Hapana. Ni lazima kuzifunga.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21642/ما-حكم-انشاء-بنك-للبن-الادميات
  • Imechapishwa: 04/09/2022