Baada ya kutoa kafara ya jimaa ameteleza akafanya tena

Swali: Vipi kuhusu mfungaji aliyefanya jimaa mchana wa Ramadhaan, kisha akatoa kafara, kisha akafanya jmaa tena siku hiyo hiyo. ana jukumu gani?

Jibu: Analazima kutoa kafara ya pili.

Swali: Vipi kuhusu mfungaji aliyefanya jimaa siku mbili mfululizo bila kutoa kafara?

Jibu: Analazima kutoa kafara kwa ajili ya kila siku moja.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 128
  • Imechapishwa: 05/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´